Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hapa naona ni gusa unase, hapafai! Shaaaa! [emoji1550][emoji1550]
Stay away from my girl...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nipo naangalia College football hapa. Thanks for the laughs Yego. Uzi huu safi sana. Wings ziko tayari ni kushushia na Chardonnay tu sasa. Bakia salama mkuu
 
Oh boy.....!!!
 
Napenda kurebisha tangazo kwa niaba ya mpenzi wangu, tangazo hili mlipuuze kwa binti huyu anashindwa kuelezea upendo ninaompa na hatoweza kuniacha hata iweje
Period
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…