Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-11-04-22-26-35.png
 
Wanandoa wengi hujiuliza , mwanzo walipooana sex was exciting, na baadae walianza kugombana na kubishana na mwisho kunatokea kutoelewana na wengine hata kuwa maadui.
 
Dalili hii ni sawa na kuita asubuhi -baada ya dalili. Tunaamka na kujua kwamba urafiki wa kimapenzi haukuwepo pale. Mapenzi ya kujamiiana hayakuwatosheleza hata kidogo, na kufikia kubishana na kugombani sio kitu walichotaka hapo mwanzo, yote hio ilikuwa kutafuta kuridhika kwa kila mtu.
 
Urafiki Wa Kimapenzi Ni Zaidi Ya Mambo Ya Kimwili.

Kila mmoja wetu ana sehemu muhimu tano katika maisha yake., Tuna kimwili, mhemko akili, kijamii, na kiroho. Hizi zote hufanya kazi kwa kuelewana . katika uchunguzi wa kirafiki tunaotaka leo, au jana. Shida moja tulionayo ni kutaka,
 
mara moja’’ msukumo wa hamu. Tunapohitaji kwa ajili ya urafiki katika mahusiano haikutani. , ‘’tunaangalia kwa hitaji la mara moja’’ tunatafuta wapi? Kimwili, kiakili , kijamii na kihisia au kiroho? Ni kimwili hicho.
 
Ni rahisi kuwa na mapenzi ya kimwili na mtu wa jinsia nyingine kwa muda wa saa moja tu au nusu saa– inategemea na uhitaji uliokuwepo. Na mara utagundua kuwa sex hio ilikuwa ya muda mfupi kwa ajili ya hamu. Hii ni kweli kabisa hitaji bado halijakamilishwa.
 
Utafanyaje endapo kadri unavyokutana nae ndio kadri unavyokuwa hupendi kufanya nae tena? Tunajiweka sawa kwa kusema ‘’tunapendana’’ hapana, mapenzi ya kweli. Lakini bado tunajikuta tunajilaumu na kutotosheka. Hapa kwetu kiasi naona watu wanatafuta urafiki wa mapenzi kwanza baada ya kujua tatizo la kuvunjika kwa ndoa nyingi ni nini.
 
Naamini Kitu Hasa Tunachohitaji Sio Sex. Tunachohitaji Ni Intimacy.

Siku hizi ulimwenguni mwote neno urafiki unachukuliwa kama ni ngono tu. lakini ni zaidi ya hicho, inakusanya sehemu zote muhimu tofauti katika maisha yetu- ndio kimwili lakini hisia za kijamii pia , kiakili na kiroho pia pamoja na vipengele vyote.
 
Woga Wa Urafiki Huu- Tunaogopa Kupendwa.

Watu kuwepo pamoja kwa kuzoeana, ukaribu na huruma, lakini mara at the critical point, tunarudi nyuma, tunaogopa ukaribu, tuogopa mapenzi’’ baadae ukaribu unaokuwepo na maumivu yanakuwepo,. Ni woga wa maumivu pia unatufanya tusipate urafiki wa kweli wa kimapenzi.
 
Back
Top Bottom