Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kama mtu anajua haya , ndio Mungu alivyoelezea Upendo halisi , alitaka tuwe na mahusiano mazuri. Na watu wanatakiwa kuangalia upendo wa kutoa zaidi kuliko kutafuta ya kwako tuKama huyu mtu anawajibika kwako kwa . uvumilivu, wema na hana wivu kwako
Upendo huvumilia , hufadhili, na wala hauhusudu, hautakabali, haujivuni, haukosi kuwa na sababu hautafuti mambo yake hauoni uchungu, hauhesabu mabaya, haufurahii udhalimu bali hufurahi pamoja na kweli, huvumilia yote hustahili yote haupungui neno wakati wowote. Mambo matau makubwa ni Imani , Tumaini na Upendo. Lililo kubwa ni UPENDO.