Lakini kuna kitu ambacho unaweza kukibadilisha na kukifanya kiwe bora na bora zaidi kila siku. Na kubadilisha hiki , kitabadilisha maisha yako: Akili yako.
Ni rahisi kuliko unavyofikiria. Unahitaji tu kuacha kufikiria mabaya na kusema mabaya yenye dalili yoyote ya ubaya, badala yake Akili yako na maongezi yako yajae mawazo mazuri na mema.
Kama ukifanya hivyo utakuwa unalisha akili yako mawazo mabaya, yatabakia akilini mwako, ni kama kuyamwagilia magugu ambayo huyataki yawepo bustanini mwako.
Kama ukifanya hivyo utakuwa unalisha akili yako mawazo mabaya, yatabakia akilini mwako, ni kama kuyamwagilia magugu ambayo huyataki yawepo bustanini mwako.
1.Badala ya kuongea kuhusu matukio mabaya na kutokubadilika, ongea kuhusu mambo ya kufurahisha na matukio yalio mazuri. Uwe makini usiruhusu mawazo mabaya yakutawale tena.
1.Badala ya kuongea kuhusu matukio mabaya na kutokubadilika, ongea kuhusu mambo ya kufurahisha na matukio yalio mazuri. Uwe makini usiruhusu mawazo mabaya yakutawale tena.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.