Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nimekuwa nikijitania mwenyewe na kucheka ninapokuwa mwenyewe. Wakati ninapokumbuka utani wowote naongea.
 
Hata unapokuwa unaumwa na unasikia maumivu, fanya utani na kucheka. Uwe unafahamu kuwa unaposikiliza matatizo na maumivu unayafanya yapate nguvu, na kuyafanya yakutawale wewe na maisha yako. Badale yake uwe na usikivu katika mawazo mazuri ya kufurahisha.
 
Usiongee kuhusu maumivu ulionayo. Usiseme hujisikii vizuri. Kila wakati sema unajisikia vizuri na utaendelea kupata nafuu na kuendelea kupona kila sekunde.
 
2.Tengeneza nyakati nzuri za kufurahia katika maisha yako

Kama utafanya hivyo utaona jinsi maisha yako yanavyojawa na furaha kama vile unaishi peponi.
 
4.Kila mara Ona Mazuri Kila mahali

Hata kama hakuonyeshi kuwa ni mazuri mwanzoni. Kwa mfano, hata kama kuna tukio baya ambalo limeua watu , sema asante Mungu.
 
Back
Top Bottom