Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini kuna kitu ambacho unaweza kukibadilisha na kukifanya kiwe bora na bora zaidi kila siku. Na kubadilisha hiki , kitabadilisha maisha yako: Akili yako.
 
Unaweza kufanya kinyume chake pia.kama akili yako imejaa mawazo mabaya yatakusumbua muda wote, lakini una uwezo wa kubadilisha ni rahisi sana.
 
Unaweza kufanya kinyume chake pia.kama akili yako imejaa mawazo mabaya yatakusumbua muda wote, lakini una uwezo wa kubadilisha ni rahisi sana.
 
Mawazo mabaya yamekuwepo ndani yako kwa muda mrefu, unayatumia, yanakuja, yanajenga kwa sababu umeyaruhusu kufanya hivyo.
 
Kwa nini usiwe na positive thoughts badala ya negative? Kuna faida gani unapata kutokana na hizo negatives?
 
Kuna zaidi ya kukosa furaha, yameleta huzuni, kushindwa. Kama unahisi kukosa bahati ni kwa ajili ya mawazo yaliopo ndani yako
 
Kwa hio badilisha mawazo na maisha yako yatabadilika na utaweza kupata kitu unachostahili.
 
Unastahili kuwa na maisha mazuri, haijalishi ukoje, una umri gani, unatoka wapi, na kitu gani umekuwa ukifanya .
 
Utafanyaje Hivyo?

Ni rahisi kuliko unavyofikiria. Unahitaji tu kuacha kufikiria mabaya na kusema mabaya yenye dalili yoyote ya ubaya, badala yake Akili yako na maongezi yako yajae mawazo mazuri na mema.
 
Kama ukifanya hivyo utakuwa unalisha akili yako mawazo mabaya, yatabakia akilini mwako, ni kama kuyamwagilia magugu ambayo huyataki yawepo bustanini mwako.
 
Kama ukifanya hivyo utakuwa unalisha akili yako mawazo mabaya, yatabakia akilini mwako, ni kama kuyamwagilia magugu ambayo huyataki yawepo bustanini mwako.
 
Unapoongea kuhusu shida, majanga, na kutokubadilika, unakuza na kulisha magugu yanayoharibu ndani ya akili yako.
 
Baada ya muda yatazagaa kila mahali na hutaweza kuruhusu mawazo mazuri hata kidogo kuingia ndani yako.
 
Angalia hapa unachotakiwa kufanya sasa.

1.Badala ya kuongea kuhusu matukio mabaya na kutokubadilika, ongea kuhusu mambo ya kufurahisha na matukio yalio mazuri. Uwe makini usiruhusu mawazo mabaya yakutawale tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…