mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
Joka la singeli
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwi kwi kwi kwi kwi lol! Otherwise you’re in for a very big surprise.
Man u waswahili wengi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji6]Hizi updates nataman nizipeleke jukwaa la man u ila daah wao wanataka za kiswahili sasa mie ntazitolea wapi na kutype si ntaota sugu za vidole eboo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hivi walifanikiwa kumrudisha? Walikuwa tayari kuwa wanampa likes huko..Huko wanawezana na ruta na vile hanaga cha kusikiliza malalamiko anawamwagia mapicha meengii
Leo man u kupigwa ni uhakika..Naangalia laivu hapa. Naomba MU wapigwe ili Numbisa naye asikitike japo kidogo [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Tusubiri kipindi cha pili. Mpira dakika 90 ati !!!Hahahhaaa haipogo hio
Ukibakia itakuwaje?
Rejection inauma...