Afya za watu zimekuwa mtaji sasaView attachment 624923
SijamboJirani hujambo..kuomba sio lazima upewe jirani
Afadhali...Sijambo
Twende hivyohivyo...Hizi updates nataman nizipeleke jukwaa la man u ila daah wao wanataka za kiswahili sasa mie ntazitolea wapi na kutype si ntaota sugu za vidole eboo
Huko wanawezana na ruta na vile hanaga cha kusikiliza malalamiko anawamwagia mapicha meengiiTwende hivyohivyo...
Nsamaka aligoma na mume akasarenda wakarudiana. Ndiyo maana inabidi atupe mahari yetu haraka haraka kabla hawajakorofishana tena....Mwenye deni hayupo daah mpaka nashindwa toa maamuzi magumu. Ila si alishatoa talaka au ndoa bado ipo?
[emoji106][emoji106]If your friend is too prideful to apologize for doing you wrong, that person is not your friend.
Hahahahaaa aiseee kali ya mwakaNsamaka aligoma na mume akasarenda wakarudiana. Ndiyo maana inabidi atupe mahari yetu haraka haraka kabla hawajakorofishana tena....