mpenda arage
JF-Expert Member
- Nov 10, 2015
- 1,677
- 3,806
Bi Mkora
Hahahahaa magumu hasa. Ngoja wenyewe waje waamueNinadai madeni ya mahari kwa watu wawili. Nasamehe wote au inakuwaje sasa? Haya mambo haya ni magumu.
[emoji16][emoji16]BAK AYOKO!
Eti myoya nani asamehewe mahari na shimba?[emoji16][emoji16]
Yule wa Tanga..Eti myoya nani asamehewe mahari na shimba?
Ni mbinu ya kawaida ya makampuni ya madawa. Testing inafanywa na madaktari wanaowalipa. Data chanya zinapikwa na kidonge kinafagiliwa lakini baada ya miaka 10 ndiyo kinagundulika kina madhara ya kutisha hata kuliko faida. Wanapigwa faini ya bilioni hata 2 wakati kidonge kilishaingiza zaidi ya bilioni 10. Mavidonge mengi ya kansa yana hii trend...Afya za watu zimekuwa mtaji sasaView attachment 624923