BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Kabisa, I hope this will be his last season with Arsenal.
Bora astaafu ili timu isukwe upya
Bora astaafu ili timu isukwe upya
Suicide doesn't end the pain. It just passes it on to someone else. - Unknown
Ulipata msamaha wa mahari wapi? Wapare mbona mnapenda vya bure hivi? Mahari ni lazima ulipe !!!Kumbe nilipata msamaha wa Mahari
Salama kabisa uniqNitamsalimu. Vipi mambo yanakwendaje
Hahahaha unasamehe madeni ya mahari unayowadai wadeni wako. Kama huwez nimwagie hizo likes mia yaisheHaya bana. Sasa ndo inakuwaje sasa? Wenga huyu hovyo kabisa !!!
Polee BAK[emoji5]Shukrani ndiyo matatizo ya kupenda haya. Wakati mwingine mambo hayaendi utakavyo.
Hahahaha yaan nacheka kama mwehu hapa nilipo.shimba bana hahahaUlimpata msamaha wa mahari wapi? Wapare mbona mnapenda vya bure?
Ninadai madeni ya mahari kwa watu wawili. Nasamehe wote au inakuwaje sasa? Haya mambo haya ni magumu.Hahahaha unasamehe madeni ya mahari unayowadai wadeni wako. Kama huwez nimwagie hizo likes mia yaishe