Nitakuja tu usijaliBuzitata nimekukaribisha Tanga, karibu tu
Karibu sanaNitakuja tu usijali
Ila sichuniki hata kidogoKaribu sana
HahaaaMwache ahangaikeeee na talaka sitoi.
Mbona Lowasa hajarudisha kadi ya ccm? Mtalaka hatongozwi ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duuuu sikuiona hiiMjadala haukufikiwa ni deni lipi. Lete ushahidi kama kuna mahali iliamriwa kuwa deni la Andjul ndilo linasamehewa.
[emoji117][emoji117][emoji117]Ila na mimi duh! Kumbe pia kuna ishu fukuto kuhusu talaka ya Carba na bro. Bado kuna Uniq. Andjul mdaiwa sugu. Mzee wa Pwani naye kuna kipindi alifikia hata kuzungumzia mahari. Duh mpaka napata kizunguzungu. Ai niidi helpu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
16:1415:44
Kumbe nilipata msamaha wa MahariZile likes 100 mi naona ziende zikafute mahari ya Uniq tunayomdai kwa ajili ya kumuoa Baby S (ng'ombe wawili majike wa maziwa na mbuzi wanane. Sijui na bata 30?). Huyu Mnyakyusa acha tu tukomae naye aisee. Au unasemaje?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi sichuniki hata nitembee na mganga
HahaaHawa Simba sifa nini mbona goli mapema
Tanga haina utani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]