Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hizo ni faida kadhaa, lakini je kuna mapungufu gani katika utumiaji wa iPhone?

>Utumiaji wa mafaili kutoka mtandaoni

Wakati kama wewe ni mtumiaji wa simu za Android unaweza kushusha mafaili mbalimbali kutoka mtandaoni kama vile nyimbo za muziki n.k utaweza kuyatumia mafaili hayo moja kwa moja – hali ni tofauti kwa watumiaji wa iPhone. Kule utaweza kushusha picha na baadhi ya mafaili tu kama pdf na kuweza kutumia.
 
tapatalk_1509872805891.jpeg
 
Wakati karibia zaidi ya asilimia 80 ya simu janja za Android zinaweza kutumia chaja ya aina moja hali ni tofauti kwa watumiaji wa iPhone. Hii ina maanisha kama umesahau chaja sehemu basi kuna nafasi kubwa ukashindwa kuchaji kifaa chako sehemu unayoenda – kwani ukweli ni kwamba bado watumiaji wa simu za Android ni wengi zaidi na wanaweza kutumia chaja ile ile.
 
Ugumu wa kubadili muonekano

Hii ni sehemu nyingine ambayo simu za Android zinafanya vizuri zaidi. Kwa simu za Android una uhuru mkubwa wa kufanya mabadiliko ya kimuonekano (themes). Kwenye iPhone badiliko kubwa unaloweza kufanya ni la wallpaper tuu. Wakati kwa Android unaweza badilisha mambo mengi zaidi – icons, rangi ya menu, n.k.
 
Unataka ujazo mkubwa? Nunua simu yenye ujazo mkubwa kwa bei ya juu zaidi

Hii ni sehemu nyingine ambapo Apple wanahakikisha wanapata pesa nyingi zaidi kutoka kwa wanunuaji wa iPhone. Wakati kwa simu nyingi za Android unaweza kununua simu ya ujazo mdogo na ukanunua memori kadi (SD Card) ya bei rahisi na hivyo kuongeza ujazo wa simu yako
 
Ata kuweka kitu kidogo tuu unaitaji kompyuta yenye programu ya iTunes

Wakati watumiaji wa Android wanaweza kudownload nyimbo na kuweza kuzitumia moja kwa moja kwenye simu zao – pia ata kuchomeka kwenye kompyuta na kuweka nyimbo na kitu kingine chochote moja kwa moja bila uitaji wa programu spesheli, hali ni tofauti kwa watumiaji wa iPhone. Kuweka vitu kama nyimbo n.k kwenye simu za iPhone zitakuitaji kutumia kompyuta, tena yenye programu spesheli ya iTunes.
 
Katika mitandao ya kijamii ambayo ni maarufu na inawatumiaji wenye mazungumzo mengi sana ni Twitter, lakini tatizo lake moja kubwa ni kwamba mtandao huu wa kijamii bado hautengenezi pesa za kutosha ukilinganisha na mitandao mingine ya kijamii.
 
Mtandao wa Twitter ingawa inavutia mazungumzo mbalimbali kuanzia ya kisiasa, kiutani, n.k yanayohusisha hadi watu mashuhuri kama Rais wa Marekani wa sasa, wasanii na watu wengine mashuhuri kwa wadogo bado mtandao huu unapata shida katika kuvutia makampuni kutumia pesa kujitangaza katika mtandao huo.
 
Kwa mfano katika miezi mitatu ya mwisho ya mwaka 2016 Twitter ilikuwa na wastani ya watumiaji milioni 319 kwa mwezi, huu ni ukuaji wa asilimia 4 tuu ya watumiaji ukilinganisha na kipindi cha mwaka mmoja nyuma, pia namba hii ni ndogo ukilinganisha na mtandao wa Facebook. Facebook ina takribani wastani wa watumiaji bilioni 1.86 kwa mwezi.

Twitter wanategemea kupata mapato ya dola milioni 91 tuu katika kipindi cha miezi hii mitatu ya mwanzo, hii ni chini sana ukilinganisha na pato la dola milioni 191 ambalo wengi waletegemea wafikie.
 
Back
Top Bottom