Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kupuuza kanuni muhimu za ujenzi

Ujenzi una kanuni zake mbalimbali ambazo ni vyema zikazingatiwa. Kutokana na uelewa mdogo, watu wengi hawazingatii kanuni muhimu za ujenzi kama vile kumwagilia maji yakutosha pamoja na kujenga nyumba kulingana na muda.
 
Nimeshuhudia nyumba nyingi zikivunjika kutokana na kujengwa haraka haraka bila kutoa muda wa kutosha kwa nyumba kukomaa na kustahimili uzito. Pia nimeona watu wakipuuzia umuhimu wa kunyesha sehemu iliyojegwa kwa maji mengi; ni muhimu kunyesha vyema eneo lililojengwa kwani “uimara wa saruji ni maji”; unaweza kunyesha angalau kwa siku saba asubuhi na jioni.
 
Weka bajeti

Ni rahisi kusikia watu wakilalamikia bajeti za serekali na kuzikosoa lakini wao wenyewe hawana bajeti zao binafsi. Unawezaje kukosoa bajeti ya serekali wakati ya kwako mwenyewe imekushinda? Fikiri tofauti; tambua umuhimu na jinsi ya kujiwekea bajeti.
 
Bajeti yako binafsi itakuwezesha kufahamu mapato yako, mambo gani muhimu unayotakiwa kuyafanya na yatakugharimu kiasi gani cha pesa. Kwa kufanya hivi utaweza kutafuta na kutumia pesa kulingana na bajeti uliyojiwekea na kuokoa pesa ambazo zingepotea bila sababu.
 
Weka vipaumbele

Kuna mahitaji mengi kwenye maisha ya mtu; lakini kuna yaliyo muhimu zaidi kuliko mengine. Jifunze kubainisha mambo ya muhimu zaidi ili uanze kuyatengea pesa kwanza. Kwa mfano maswala kama vile eilimu, uwekezaji, kodi ya nyumba, chakula,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…