Sijui nini kimekupata ila kaa ukijua kwa taarifa yako nilikupenda, bado ninakupenda wewe. Nafasi yako iko pale pale ukitaka kurudi any time mimi kuanzia Leo sijihusishi na kupenda mtu yeyote periodHebu niache huko[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Nilikuwa nimepoteza simu. Yaani nimetafuta mpaka kwenye freezer. Hizi simu hizi zimetufanya tumekuwa kama watumwa. Leo nimejifunza kitu !!!Pole
I like this...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani thamani yako kwangu ni zaidi ya lowassa alivyo na ndoto ya kuwa Rais
Kama Kuna namna unaweza nisaidia nitashukuru kwa kweli maana man u tabu na upande wa pili tabuNa maneno yako na talaka zenu hahaha
Kwa man u maumivu tupu. Kwa carba mvumilie atarudi tuKama Kuna namna unaweza nisaidia nitashukuru kwa kweli maana man u tabu na upande wa pili tabu