Bro naandika vitu mpaka unavipenda lakini ujumbe huu mzito na wenye ukweli shemeji yako kipenzi kaupotezeaI like this...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi siwezi kuwa katika kipindi kigumu shemeji. Uzuri wangu mtizamo wangu na falsafa yangu haviniruhusu kuwa katika wakati mgumu. Niko hukuu ng'ambo ya pili....[emoji23] [emoji23] [emoji23] me nipewe dedikesheni ya nini tena?
Acha apambane na shemejie
Ila nakuonea huruma mana uko kwenye kipindi kigumu hujui tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Sina mchezo mimi ohoooooo!!!Hiyo GIF [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kila mahali nipo ila Whatsup magrupu mengi nimetimuliwa kwa kutowekaIla ruta upo busy hadi fb upo!??
Hahahhaaa aiseee bora kuleft kuliko kutimuliwaKila mahali nipo ila Whatsup magrupu mengi nimetimuliwa kwa kutoweka
Kama ni magrupu ya MU hawawezi kukutimua !!!Kila mahali nipo ila Whatsup magrupu mengi nimetimuliwa kwa kutoweka
Unajua kuwa bado Jumatatu?The weekend I feel it coming
Kuna magrup mengine ya michango ya ajabu ajabu mara photoshoot, birthday,kipaimara,party ya kujipongeza kwa kuiona weekend,party ya mtoto kafaulu mhula,etcKama ni magrupu ya MU hawawezi kukutimua !!!