Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tatu unaweza ukatumia poda na sabuni zinazosaidia kupunguza mafuta usoni. Mifano ni poda ya POND’S ile iliyoandikwa OIL CONTROL na sabuni za DOVE na PEARS zilizoandikwa OIL CONTROL SOAP
 
Ukitaka matokeo mazuri kwenye ngozi na mwili wako kwa ujumla hakikisha unazingatia mambo yafuatayo:

Unaitunza ngozi yako vizuri sana kupitia usafishaji mzuri, ulaji mzuri, kuipumzisha, kuepuka jua kali, kunywa maji ya kutosha, unatumia vizuri vipodozi nk
 
AINA ZA NGOZI

Kwanza jua vizuri sana aina ya ngozi yako. Jijue kama una Ngozi kavu (Dry Skin), Ngozi ya mafuta (Oily Skin), Ngozi ya Kawaida (Normal Skin) au Ngozi mchanganyiko (Combination Skin).
 
Ngozi kavu hukakamaa, hupauka, huwa na magamba kwa mbali na haitoi mafuta yoyote. Ukijifuta kwa karatasi nyeupe au ukitumia karatasi ya kupimia ngozi hutoka kavu kabisa na haina matone ya mafuta
 
Ngozi ya mafuta huwa tepetepe na hujaa mafuta hata kama haujapaka chochote, Ukijifuta kwa karatasi nyeupe au ukitumia karatasi ya kupimia ngozi hutoka na matone mengi ya mafuta ambayo yameungana au yapo karibu karibu
 
Ngozi ya kawaida huwa kati ya kavu na ya mafuta. Yaani haioneshi mafuta mengi na wala sio kavu. Ukijifuta kwa karatasi nyeupe au ukitumia karatasi ya kupimia ngozi hutoka na matone machache ya mafuta ambayo yapo mbalimbali
 
la uso na kushuka kupitia kwenye pua (T-Zone) huwa ya mafuta na mashavu huwa ngozi kavu. Ukitumia karatasi nyeupe au karatasi ya kupimia ngozi hutoka na mafuta eneo kutokea kwenye paji la uso na kushuka kupitia kwenye pua (T-Zone) na hutoka kavu eneo la mashavu.
 
LOSHENI/MAFUTA YA KUTUMIA

Hapa ndipo penyewe. Na ukikosea hautapata matokeo unayoyataka, sana sana utapata matatizo na kupoteza muda na pesa zako.
 
Kwanza kabisa tambua kwamba losheni na mafuta mengi sana hufanya kazi zinazofanana na hata ufanisi wao hufanana, tofauti zao kubwa ni harufu tu na bei. Kwa hiyo cha muhimu kuzingatia ni aina ya ngozi yako na malengo ya hiyo losheni au mafuta yako.
 
Back
Top Bottom