Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tuna mafuta na losheni aina nyingi sana. Zote huwa na mapambo na matangazo aina mbalimbali, ukiongezea na promosheni na maneno ya wauzaji.

Miluzi mingi hupoteza mbwa, ila wewe sio mbwa na usipotee sasa.
 
Ngozi ya Kawaida
Ngozi ya kawaida ndiyo ngozi nzuri kuliko zote. Siku zote lenga kuwa na ngozi hii ili maisha yako yawe mazuri na kutunza ngozi yako kuwe rahisi.

Kama una ngozi ya kawaida tumia mafuta au losheni mahsusi kabisa kwa ajili ya ngozi ya kawaida. Huwa zimeandikwa “NORMAL SKIN” au “FOR NORMAL SKIN”.
 
Ngozi ya MafutaÂ

Ngozi ya mafuta ipo katika hatari ya kupatwa na chunusi na kusumbuliwa na vumbi na vijidudu. Haihitaji sana mafuta, ila cha msingi ni kuhakikisha haipotezi maji na hakuna chunusi. Kama una ngozi ya mafuta anza kupunguza mafuta na kuifanya iwe ya kawaida ili maisha yako yawe mazuri na kutunza ngozi yako kuwe rahisi.
 
Kwa upande wa mafuta/losheni tumia yaliyo mahsusi kabisa kwa ajili ya ngozi ya mafuta. Huwa yameandikwa “OILY SKIN” au “FOR OILY SKIN”.

Ukianza kutafuta mafuta/losheni hizo utakuja kugundua kwamba ni adimu sana. Hii ni kutokana na ukweli kwamba ngozi ya mafuta haihitaji sana mafuta au losheni, na badala yake huhitaji vipodozi vingine kabisa kwa ajili ya kupunguza mafuta na kuifanya iwe ya kawaida.
 
Ngozi Kavu

Ngozi kavu ipo katika hatari ya kupata magonjwa ya ngozi, kuchanika na kuwahi kuzeeka. Inahitaji sana unyevuunyevu na mafuta kuliko ngozi yoyote. Ngozi kavu ni tatizo, hakikisha unaondokana nayo haraka iwezekanavyo.

Tumia mafuta au losheni ambazo ni mahususi kabisa kwa ajili ya ngozi kavu. Na kama ngozi yako ni kavu sana tumia mafuta au losheni kwa ajili ya ngozi kavu sana.

Tumia mafuta/losheni zilizoandikwa “FOR DRY SKIN” au “DRY SKIN”. Kama ngozi ni kavu sana tumia mafuta/losheni iliyoandikwa “FOR VERY DRY SKIN”
 
Ngozi Mchanganyiko

Ngozi hii ni hadimu na haina matatizo sana. Cha msingi ni kupata mafuta/losheni mahususi kwa ajili ya ngozi hii na kuitunza vizuri ili iweze kunawiri.

Endapo mafuta eneo la pua yatakuwa mengi au yanakusumbua sana basi unaweza ukayapunguza kwa kutumia vipodozi vya kupunguza mafuta na kuwa na amani zaidi.

Kwa upande wa mafuta/losheni tumia yaliyoandikwa “FOR COMBINATION SKIN”

Baada ya hapo maisha yako yatakuwa poa kabisa.
 
MAFUTA/LOSHENI KWA AJILI YA ZAIDI YA AINA MOJA YA NGOZI

Kuna mafuta na losheni ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya aina mbalimbali za ngozi. Endapo utaweza kujaribu kwa muda kutazama maendeleo na kuwa na uhakika nayo basi yanaweza kukufaa pia.

Baadhi yao huwa ni kwa ajili ya Ngozi kavu mpaka za kawaida. Haya utakuta yameandikwa “FOR DRY TO NORMAL SKIN” au “FOR DRY AND NORMAL SKIN”
 
Baadhi yao huwa ni kwa ajili ya ngozi kavu mpaka kavu sana. Haya utakuta yameandikwa “FOR DRY TO VERY DRY SKIN” au “FOR DRY AND VERY DRY SKIN”

Baadhi yao huwa ni kwa ajili ya ngozi mchanganyiko mpaka za kawaida. Haya utakuta yameandikwa “FOR COMBINATION TO NORMAL SKIN” au “FOR COMBINATION AND NORMAL SKIN”
 
Mwanaume:
haubeti
hauzini
bangi huvuti
sigara huvuti
pombe hunywi
ukipishana na mwanamke mwenye tako kubwa hugeuki
Mpira huangalii
Hukai na washkaji
Hutoki nyumban[emoji1] [emoji1] [emoji1]
ndugu yangu wewe ni
"MWANAUME HEWA"
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Hahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Andjul niwekee ile ndugu yangu
c986b4a85c1cf1200623b921f7d86012.jpg
 
Za kwetu salama,sijui wewe na mate wako mwaendeleaje mana naona hadi avatar katoa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Andjul ukuje huku avatar imetolewa ile bet umeshinda[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wera weraaaaaaa .....amebana ameachiaaaa,sasa carba yupo huru ( kwa mujibu wa mkataba wetu).
Natangaza rasmi kuwa carba ni mke wangu.Nife mimi afe yeye.
Iwe mvua liwe jiwe,hatutaachana.....
 
Mwanaume:
haubeti
hauzini
bangi huvuti
sigara huvuti
pombe hunywi
ukipishana na mwanamke mwenye tako kubwa hugeuki
Mpira huangalii
Hukai na washkaji
Hutoki nyumban[emoji1] [emoji1] [emoji1]
ndugu yangu wewe ni
"MWANAUME HEWA"
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Nenda tu mbinguni kacheze na malaika,hauna faida kuishi duniani.
Acha tuendelee kutafuta hela kwa matumizi ya [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuachwa, Kuachwa ni shughuli pevu mbaya zaidi kwa yule unaempenda wewe unakonda yeye ananenepa
Kuachwa [emoji445][emoji441][emoji444][emoji441][emoji445][emoji444][emoji441][emoji445][emoji443]
[emoji124] [emoji124]kwa mawazo ooh,kwa mawazo ooh... [emoji445] [emoji444] [emoji444] [emoji445] [emoji443] kweendaaaaa...
 
Back
Top Bottom