Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Wasaudia naona wanatumia maguvu kila kona. Kuna nini? Masilaha ya Wamerakani yanawapa kiburi ama?
Jamaa naona hataki mchezo. Mpaka mabilionea ndani. Wanasema anajaribu kusikiliza matakwa ya kizazi kipya (vijana ndo wengi) ambacho kinakerwa sana na ufisadi na utajiri uliopindukia kimo kwa familia ya kifalme.
Usilaumu wanaume pekee. Siku hizi hata wanawake si wanawake tena. Ni vurugu mechi tupu na mimi nasema kila mmoja apambane na hali yake bila kujali jinsia. Tuliogoma kuoa tulikuwa tunachekwa lakini sasa naona tumeanza kueleweka. Mungu mkubwa !!!
Huwa inaudhi eeeh?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ulishajaribu cha Mara bebi? Ilikuwaje?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]