Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tunalo tatizo [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
38d34a16996455db4ca60f12d747dd3e.jpg
 
Nimemuuliza *WIFE,* fedha za matumizi zimebaki kiasi gani kuanzia asubuhi mpaka muda huu? amesema hakumbuki anashulika na mambo mengi ya familia hivyo mpaka amuulize "DADA wa KAZI"
Jioni nitampangia kazi nyingine! Hawezi kunijibu mm hivi.[emoji124][emoji124][emoji124]
 
Usilaumu wanaume pekee. Siku hizi hata wanawake si wanawake tena. Ni vurugu mechi tupu na mimi nasema kila mmoja apambane na hali yake bila kujali jinsia. Tuliogoma kuoa tulikuwa tunachekwa lakini sasa naona tumeanza kueleweka. Mungu mkubwa !!!
Acha kujitetea[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Shemeji. Hau wozi yua dei?

Haya mambo shemeji hayana fomyula. Kamwe usiyakimbilie kwa kufuata mkumbo au kufurahisha jamii. Wengi wanalia na kusaga meno. Tumshukuru Mungu tu na mengine yote ni madogo !!!
 
Nimemuuliza *WIFE,* fedha za matumizi zimebaki kiasi gani kuanzia asubuhi mpaka muda huu? amesema hakumbuki anashulika na mambo mengi ya familia hivyo mpaka amuulize "DADA wa KAZI"
Jioni nitampangia kazi nyingine! Hawezi kunijibu mm hivi.[emoji124][emoji124][emoji124]
Unampandisha cheo dada wa kazi ama?
 
Shemeji. Hau wozi yua dei?

Haya mambo shemeji hayana fomyula. Kamwe usiyakimbilie kwa kufuata mkumbo au kufurahisha jamii. Wengi wanalia na kusaga meno. Tumshukuru Mungu tu na mengine yote ni madogo !!!
Siku ndo inaanza hivi shem,sijui kwa upande wako ikoje?

Hivi vitu si vya kukimbilia sema siku hizi vinakimbiliwa sana basi tu kwa vile washkaji wameoa na kuolewa na wewe wataka hivyo.
Ndoa si macho kusema kila mtu anayo[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom