Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Homa ya ini (hepatitis) ni neno linalotumika kujumuisha magonjwa yanayoleta madhara kwenye ini kwa kushambulia na kuzidhuru seli za ini. Ugonjwa huu unaweza kupona wenyewe bila kuleta madhara makubwa au unaweza kuwa mkubwa kiasi cha kuacha makovu kwenye maini. Mara nyingi ugonjwa huu ukiwa mkubwa utamsumbua mgonjwa kwa kipindi kinachoweza kufikia hadi miezi sita. Ni ugonjwa unaoweza pia kuwa wa muda mrefu zaidi (chronic)
 
[emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji441][emoji441]

COLEWORLDLOVESYOU
 
Kuna aina kuu 5 za ugonjwa huu na aina hii zote huletwa na virusi. Karibu watu milioni 250 duniani washambuliwa na hepatitis C wakati watu wapatao milioni 300 ni wale wanaoweza kueneza ugonjwa wa hepatitis B bila wao wenyewe kudhurika (hepatitis B carriers). Aina nyingine za ugonjwa huu ni hepatitis A, D na E. Uharibifu mwingi wa maini ya binadamu hutokana na aina tatu za virusi wa hepatitis, hepatitis A, B na C.
 
Kuna aina nyingi za hepatitis ambazo haziambukizi. Unywaji wa pombe, utumiaji wa madawa na kemikali vyaweza kuleta uharibifu kwenye maini. Mtu pia anaweza kupata maradhi haya kwa kuzaliwa kwenye ukoo wenye historia ya maradhi haya, kutokana na hitilafu katika utendaji kazi wa mwili au kutokana na kuharibika kwa kinga zake za mwili. Ulafi waweza kuwa chanzo cha madhara kwenye ini. Homa za ini kutokana na vitu hivi haziambukizi kutoka mtu mmoja hadi kwa mwingine.
 
Kazi Za ini



Ini ni kiungo kikubwa kuliko kingine cho chote kile kilicho ndani ya mwili wa binadamu. Ini huwa na uzito upatao kilo 1.36. Ini limegawanyika katika vipande vinne vyenye ukubwa na urefu tofauti. Damu hulifikia ini kupitia hepatic artery na potal vein. Hepatic artery huchukua damu yenye oksijeni kwa wingi kutoka aorta na kuifikisha ndani ya ini.
 
Siku ndo inaanza hivi shem,sijui kwa upande wako ikoje?

Hivi vitu si vya kukimbilia sema siku hizi vinakimbiliwa sana basi tu kwa vile washkaji wameoa na kuolewa na wewe wataka hivyo.
Ndoa si macho kusema kila mtu anayo[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kumbe ndo unaingia? Basi Mungu Akawe nawe. Mimi sina cha kulalamikia. Mungu ni mwema...
 
Back
Top Bottom