Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tiba Ya Hepatitis A: Hakuna tiba maalum kwa ugonjwa huu hadi sasa. mwili wako wenyewe unaweza kupambana na ugonjwa huu. Mara nyingi ugonjwa huu hupona katika miezi sita bila kuacha madhara ya kudumu kwenye maini. Kinachotakiwa kufanya ni kupambana na dalili zilizojitokeza ikiwa ni pamoja na:
 
Kupumzika – watu wengi wakishaambukizwa hupata uchovu wa mwili na miili kukosa nguvu.
. Kupambana na kichefuchefu – yafaa kula kidgo kidogo badala ya mlo mkubwa wa mara moja.
. Kupumzisha maini – yapumzishe maini kwa kuchagua dawa za kuzitumia na kuacha kunywa pombe.
 
NINA SHIDA NA LAPTOP YEYOTE ILE LENOVO, DELL HP. .BEI 300K KWA ALIYE ARUSHA ANAUZA TUWASILIANE.

CHAP OKOA MUDA.
Nina laptop 2 hapa (hp) mpya kabisa hazijafunguliwa. Ningekuwa karibu hapo ningenyaka hiyo laki tatu kwa ulaini kabisa dah. Au ningekupa kama zawadi ya kupata twins. Vinaendeleaje vimalaika vyako mkuu?
 
il_340x270.1177036250_nba4.jpg
 
Back
Top Bottom