Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
@Numbisa=Ukanificha, hiyo ni kwa kiinglishi cha kule kwetu kuliko ungua shoka! [emoji1][emoji1][emoji124][emoji124]
Ule ugali mgumu ukimpiga nao mtu anatoka nundu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nitamwita Numbisa au nsamaka wanisaidie au hata babe s kwakweliSiyo chai pekee. Kuna ugali pia. Wa kulisha wanaume 10+ wa Kisukuma waliotoka kulima mpaka washibe. Mgumu hasa kama jiwe. Hapa itakubidi uombe past papers kutoka kwa Numbisa. Ni afadhali hata kwenda kulima..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Excellent....Jameson hilo ni tatizo dogo. Nitakusaidia kulitatua !!!YES SYB
[emoji112] [emoji112] kitoo(in Yegomasika's voice)YES SYB
Upo?nakumiss wewe