Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Siyo chai pekee. Kuna ugali pia. Wa kulisha wanaume 10+ wa Kisukuma waliotoka kulima mpaka washibe. Mgumu hasa kama jiwe. Hapa itakubidi uombe past papers kutoka kwa Numbisa. Ni afadhali hata kwenda kulima..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hongera sana
Hiyo kazi ya kupika chai tu,mbona naiweza[emoji23] [emoji23]
Mkuu HARUFU. Leo mapema naona. Ngoja nikuchokoze [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Namshukuru Mungu kwakweli inaenda salama,sijui weweHata mi nakuona siku yako inaendaje.
COLEWORLDLOVESYOU
YES SYBA yu shua?