Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama kutembea na kuangalia wanavyofanya palizi sawa ila si kufanya kazi
Nimelima mahindi(enzi za shule)kwa miaka 2 mfululizo sina hamu[emoji17] [emoji17]
Mimi huwa nachukulia kuwa ni sehemu ya mazoezi tu. Bado naweza kupiga jembe masaa sita bila kuchoka...

Basi wewe utakuwa mpishi unatuletea chai na viazi huko huko shamba....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Homa Ya Ini – Hepatitis A



Hepatitis A ni ugonjwa unaoambukiza kwa haraka sana na husababishwa na kirusi aitwaye hepatitis A virus (HAV). Unaweza kupata ugonjwa huu kutoka kwenye maji au chakula kisicho salama au kwa kuwa karibu na mtu mwenye maambukizi ya virusi hao. Ugonjwa huu huweza kuondoka wenyewe bila tiba na mtu aliyepatwa na ugonjwa huweza kutibiwa akapona kabisa bila ya kupata uharibifu kwenye maini yake. Unaweza kujikinga kutokana na ugonjwa huu kwa kujiwekea tabia ya kuosha mikono mara kwa mara. Mtu anaweza kupata chanjo endapo yupo kwenye mazingira hatarishi.
 
Dalili za Hepatitis A: Dalili za ugonjwa huu huanza kujitokeza baada ya angalau wiki moja baada ya kupata maambukizi, nazo huwa:

. Uchovu
. Kichefuchefu na kutapika
. Maumivu ya tumbo hasa maeneo ya ini upande wako wa kulia chini ya mbavu
. Kukosa hamu ya kula
. Homa
. Mkojo mweusi
. Maumivu ya joints
. Ngozi na macho kuwa njano
 
Chanzo Cha Hepatitis A: Unaweza kupata hepetitis A kwa kula chakula chenye kinyesi hata kama ni kwa kiwango kidogo sana. Virusi wa hepatitis A hushambulia seli za maini na kusababisha maini kushindwa kufanya kazi yake. Pamoja na kula chakula na kunywa maji yasiyo salama, unaweza kupata virusi hawa kwa kula samaki wabichi kutoka kwenye maji yaliyochafuliwa na kinyesi au kujamiiana na mtu mwenye maambukizi ya virusi hao
 
Back
Top Bottom