Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ntajaribu ila siku ambayo siingii job au ile nusu siku[emoji4]
Hii ukitaka kutest zali sawa sawa hii unajipigilia wakati wa lunch break...[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila shemeji wapenda kudai mahari wewe khaa!
 
Why did I pretend to be ignorant though I new all?

COLEWORLDLOVESYOU
Bro, umerudi kwenye yale mateso uliyopitia wakati ule unamfukuzia Godess ISIS. Dem paraboz are brutal. Carba hana jinsi isipokuwa kufuta talaka tu kwa kweli....

Ipielo imekuletea madhara makubwa. Bila shaka ukifutiwa talaka safari hii hutafanya makosa tena...
 
Uwiiiii [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] kama najiona[emoji86] [emoji86]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…