Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ambavyo havina viambata vya sumu na havijapigwa marufuku

Vipodozi vyote vyenye viambata vya sumu na vilivyopigwa marufuku sio vizuri kabisa kwako. Usivitumie hata kidogo, na usikubali kushawishiwa hata kama mtu atakuonesha matokeo mazuri kiasi gani. Matokeo yake yana uzuri wa muda mfupi tu na ubaya wa muda mrefu sana.
 
Back
Top Bottom