Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1510079662315.jpg
 
Nasema hivii talaka sifuti ng'ooo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hata copy yake sijui iko wapi. Tungejaribu angalau kuangalia legal loopholes tujue la kufanya. Hii kushusha paraboz tu sijui kama inasaidia hii.

Na ukituthibitishia kuwa umekuwa wifed na Andjul basi itakuwa siyo mbaya sana. Utakuwa umebakia kwenye ukoo. Kimbembe ni pale utakapoamua kwenda huko sijui Nansio sijui wapi. Hapo itakuwa patashika nguo kuchanika aisee...
 
Back
Top Bottom