Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mhasibu mkuu wa wizara $1995 haitamshinda. Sijui yuko wapi. Atafutwe aje hapa haraka !!!
Mhasibu mkuu wa wizara $1995 haitamshinda. Sijui yuko wapi. Atafutwe aje hapa haraka !!!
Ukute sasa unga ndo huo huo ulikuwa umepigiwa mahesabu kumaliza wiki mbili.Na huyu lazima achezee kibano
Wanataka kuwaharibu hawa watoto kungali mapema na asubuhi...
Mkuuuu....Hahahaha, wanafanana, huwezi jua huenda ni ndugu hawa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahaha wanaosha macho mkuu.Wanataka kuwaharibu hawa watoto kungali mapema na asubuhi...
Ana mechi ngapi Lukaku hajafunga? Naona jamaa wamemkomalia kweli kweli. Siyo yeye juzi juzi hapa alikuwa shujaa ajabu?
Mhasibu mkuu wa wizara $1995 haitamshinda. Sijui yuko wapi. Atafutwe aje hapa haraka !!!
Kila nikiona picha za JK ni ama anacheka au anatabasamu. Safi sana !!!
Wanasaikolojia wanasema kuwapa watoto smartphone/gadgets katika ni sawa na kuwaonjesha cocaine. Hawa waachwe wachezee matope watoane ngeu huko wajifunze maisha kwanza...Hahahaha wanaosha macho mkuu.