Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fikiria kesi ya mgonjwa mwenye hali mbaya ambaye inabidi apate matibabu ya haraka ili kuweza kunusuru afya na uhai wake halafu kwa bahati mbaya anapatiwa dawa bandia ambazo hazina dawa kweli wala uwezo wa kutibu. Nini kitatokea? Mgonjwa anaweza kuzidiwa zaidi au kufariki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…