Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha, mkuu hata wewe. Kwani hukuwahi kumsoma Amir Andanenga
Sauti ya Kiza...Mshairi wangu...

Hivi bado yuko hai au alishatangulia kwa Molla? Nilipenda sana mzozo wake na Kezilahabi kuhusu maana ya ushairi, na kama mashairi yasiyo na vina na mizani (masivina) yanastahili kuitwa mashairi ya Kiswahili ama la!
 
Jirani, watoto wengine hata umusome Andanenga, haisaidii! Acha kabisa yaani! [emoji1][emoji1]
Carba Orijino...Mjengezi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
683f261a1afd36f86f9c4fcbfb16380d.jpg
 
Back
Top Bottom