Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inashangaza, hawataki kujifunza kwa Saddam Hussein alipokubali kutumika dhidi Iran, alimwaga damu ya Wairan na Waraq maelfu ya lita, mwishowe ikamwagwa damu yake na sinema ikaishia hapo
Hata Osama. Na Mobutu. Na wengine wengi. Ngoja siku moja itokee hizi renewable energy (solar, wind, lithium, hydro, geothermal...) zifanikiwe mpaka kufifisha umuhimu wa mafuta ndiyo watajua Mmarekani ni mtu wa aina gani...
 
Me hata sijui kama iko wazi ama lah!
Kwani kasema iko wazi au imefungwa?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndo anataka kutest zali. Sasa imebidi ajilaze chini moyo waenda mbio. Ngoja tusubiri mapigo ya moyo yakirudi kwenye hali ya kawaida. Bila shaka ataleta mrejesho kama PM iko locked ama la !!!
 
Usiondoke bhana. Mapigo ya moyo yameanza kuwa fresh! [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yegooooooo !!!!!!!
 
Back
Top Bottom