Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

69d4520db984748aa43f743b74502b78.jpg
 
Wana njaa ya kumwaga damu,
Ndiyo shida ya kuwa kibaraka. Unafuata matakwa ya anayekutuma. Wanatumiwa na Wamarekani kufanya Wamarekani wanachotaka. They will learn the hard way kwa sababu Mmarekani ana tabia moja kengeufu: Anakutumia weee halafu siku ukichuja kimatumizi anakutupa kama ganda la muwa ukanyagwe na wapita njia...
 
Back
Top Bottom