Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha, mkuu hata wewe. Kwani hukuwahi kumsoma Amir Andanenga
Sauti ya Kiza...Mshairi wangu...

Hivi bado yuko hai au alishatangulia kwa Molla? Nilipenda sana mzozo wake na Kezilahabi kuhusu maana ya ushairi, na kama mashairi yasiyo na vina na mizani (masivina) yanastahili kuitwa mashairi ya Kiswahili ama la!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…