Kwa kuelewa vizuri hilo mwanamke anaweza akajikinga dhidi ya michirizi kwa kudhibiti ongezeko la mwili wake au kutumia dawa au vipodozi vinavyosaidia kupunguza na kuondoa michirizi.
Kama ulichelewa kidogo na ndo unaanza sasa kuiondoa basi kuwa mvumilivu kidogo maana huchukua muda kiasi kuanza kuona matokeo (takriban miezi mitatu) na kuimaliza kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.