Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji3] [emoji3] [emoji3] tupo pamoja mkuu.Wakuu, Jumatano hii naona majukumu yamekaba. Kuko kimya hapa...Nyote nawatakia mchana mwema. Mnachokihangaikia mkipate. Na katika yote, tumshukuru Muumba wetu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]