Dawa zetu huchukua muda mrefu sana kufanyiwa utafiti, mchakato wa kutengenezwa na majaribio kupima usalama na ufanisi wake katika mwili wa binadamu na kwa magonjwa yaliyolengwa
Zinaweza kuchukua miaka 7 – 15 au zaidi kabla ya kuanza kutumika kwa matibabu. Hata baada ya hapo bado zinafuatiliwa kila siku kujua maendeleo ya ubora,
Moja kati ya vitu muhimu sana ambavyo hufanyiwa utafiti wakati wa kugundua, kutafiti na kuendeleza dawa ni kiasi cha kutumiwa na muda wa kutumiwa kwa dawa hiyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.