andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Aaaaa!!! Umefika mbali sana bwana shemeji, samehe 7x70.Ongea na mumeo mpya. Hayo sisi hayatuhusu. Hata mkipata matatizo ya kuugua/kuuguliwa na hata (God forbid) kifo sisi hatuhusiki kwa namna yo yote ile. Mumeo anajifanya anajua kila kitu mpaka amedharau ukoo mzima kisa akupate. Basi tutaona !!!