Aaaaa!!! Umefika mbali sana bwana shemeji, samehe 7x70.Ongea na mumeo mpya. Hayo sisi hayatuhusu. Hata mkipata matatizo ya kuugua/kuuguliwa na hata (God forbid) kifo sisi hatuhusiki kwa namna yo yote ile. Mumeo anajifanya anajua kila kitu mpaka amedharau ukoo mzima kisa akupate. Basi tutaona !!!
Kisimamishe kitatulia baada ya muda, ondoa mawazo yanayo sababishaUjitoe tena. Mpaka kichwa kinanizunguka sasa !!!
Umekuwa mdogoooo,kama piriton vile[emoji23] [emoji23]Aaaaa!!! Umefika mbali sana bwana shemeji, samehe 7x70.