Ok ngoja nami nije!Kama kawaida yangu kazi yangu kubwa ni kuwakumbusha. Lengo letu hapa ni likes na siyo kukimbiza uzi. Huku nyuma zipo posts kibao zina likes moja au mbili. Sipendezwi. Niko huku nimekwama najaribu kujazia jazia. TOA LIKES KAMATA LIKES that's our motto. Tusijisahau na kupenda kupokea tu. Ngoja nihangaike huku nyuma kukinichosha nitahamia huko mbele...
Viuno wapi mama hivyoViuno hivyo wanaume burudikeni
Kuna ile picha ya lissu na anne makinda wakicheza mziki, same same to youHivi mkuu kwa jinsi tulivyo zoeana huku, tukikutana kwenye jukwaa la kule tutachambana kweli? Maana tupo kuta tofauti
Viuno viko wapi? I hope ni vya kike [emoji23][emoji23][emoji23]Viuno hivyo wanaume burudikeni
Mwanza mpo!
Usicheke mkuu, mchana nilikua kule, ila nimeraruana na ndugu yangu kabisa wa huku. Tunakutana tena huku tunaogeshana tu kwa ma likeHahahaha
Yup yupi see
Toa likes kamata likesKama kawaida yangu kazi yangu kubwa ni kuwakumbusha. Lengo letu hapa ni likes na siyo kukimbiza uzi. Huku nyuma zipo posts kibao zina likes moja au mbili. Sipendezwi. Niko huku nimekwama najaribu kujazia jazia. TOA LIKES KAMATA LIKES that's our motto. Tusijisahau na kupenda kupokea tu. Ngoja nihangaike huku nyuma kukinichosha nitahamia huko mbele...
Viuno viko wapi? I hope ni vya kike [emoji23][emoji23][emoji23]
Unyumbu vs Ufisi ama?Hivi mkuu kwa jinsi tulivyo zoeana huku, tukikutana kwenye jukwaa la kule tutachambana kweli? Maana tupo kuta tofauti
Mkuu kipindi cha nyuma kulikua na team weka picha na team naomba like I wish kama wangekuepo kwenye huu uzi wale like.Usiwe na wasiwasi kupata like kutoka kwa kichwa kichafu maana napita kila post
Pita tuNawapenda wote jaman chukueni like zangu maana kupita kwa wote mmmh
Kabisa maana kuna vituko sanaNa jinsi watu wanavyocheka pekeyao
Aiseeh coco unanifurahishaKata.... katatika
Kiuno chako mwenyewe.... kata...kata
Uwiii najitayarisha mauno mie
Halooooooo
Good ideaMkuu kipindi cha nyuma kulikua na team weka picha na team naomba like I wish kama wangekuepo kwenye huu uzi wale like.
Bora umewakumbusha mkuu maana nlikua nimeubeba mzigo peke angu [emoji4][emoji4]. Kula likesKama kawaida yangu kazi yangu kubwa ni kuwakumbusha. Lengo letu hapa ni likes na siyo kukimbiza uzi. Huku nyuma zipo posts kibao zina likes moja au mbili. Sipendezwi. Niko huku nimekwama najaribu kujazia jazia. TOA LIKES KAMATA LIKES that's our motto. Tusijisahau na kupenda kupokea tu. Ngoja nihangaike huku nyuma kukinichosha nitahamia huko mbele...