Ni somo kuhusu ushauri. Linasema kwamba ukitaka kufanya vizuri na kufanikiwa katika kitu ni vyema ukapata ushauri kutoka kwa wataalam na watu wenye uzoefu juu ya kitu hicho.
Ikatolea mifano kwamba ukitaka kufanikiwa katika biashara ya dhahabu basi huna budi kupata ushauri kutoka kwa watu wenye utaalam na uzoefu juu ya dhahabu na biashara ya dhahabu.
Ukitaka ushauri juu ya kilimo basi huna budi kupata ushauri kutoka kwa watu wenye utaalam na uzoefu wa kilimo, hususan kilimo cha mazao ambayo unataka kuanza kulima.
Ukitaka ushauri juu ya kilimo basi huna budi kupata ushauri kutoka kwa watu wenye utaalam na uzoefu wa kilimo, hususan kilimo cha mazao ambayo unataka kuanza kulima.
I just saw my Ex liking a Traditional healer's page that brings back lost lovers in 24hours. Please pray for me guys.[emoji120] sirudi mimi [emoji23][emoji23]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.