Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

If you were born in November, it means you were conceived in February. So when people were busy in farms preparing to plant, your parents were busy making you. You are the reason why there is hunger in parts of Africa. I can never wish you a happy birthday.
Mmesikia November babies[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
 
MADHARA YA KIAFYA
Watu wengi hununua na kutumia dawa kwa kuhisi dalili na kuzifananisha na dalili za ugonjwa fulani. Wasichokijua ni kwamba dalili za magonjwa huweza kufanana na hivyo mtu huyo kujikuta anakunywa dawa za ugonjwa mwingine ambao amehisi ndio anao lakini kumbe kiuhalisia hana ugonjwa huo.
 
If you were born in November, it means you were conceived in February. So when people were busy in farms preparing to plant, your parents were busy making you. You are the reason why there is hunger in parts of Africa. I can never wish you a happy birthday.
Mmesikia November babies[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
aahahahahaa
 
Ndege wapendanao huruka pamoja wewe na mwenzi wako mnapendana rukeni pamoja
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji115] [emoji115] [emoji115] ona sasa[emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Namaanisha.Plzzz,tushirikiane mama
 
16898548082dd838336a0e6a1782a810.jpg
 
Fikiria dalili zifuatazo : Kuwa na homa, maumivu ya kichwa na mwili kukosa nguvu. Hizo ni dalili za ugonjwa gani? Malaria? Maambukizi katika njia ya mkojo? Homa ya matumbo (Typhoid)? Flu? Au ugonjwa gani ?

Bila kupata ushauri wa daktari na vipimo huwezi kupata uhakika wa ugonjwa unaokusumbua.
 
UHARIBIFU WA DAWA
Dawa zetu zinafanya kazi kwa ufanisi mzuri endapo tu zikitumika vizuri. Pia huwa bora na salama endapo tu zitahifadhiwa na kutumiwa vizuri. Kinyume na hapo ni kwamba ubora, usalama na ufanisi wa dawa hupungua na huweza kuisha kabisa.
 
Pia baada ya dawa kukosa ufanisi wa kutosha zitashauriwa kutumika dawa zingine mpya au bora zaidi ambazo hata gharama yake huwa kubwa ukilinganisha na zile ambazo tulikuwa tunatumia mwanzo na zilikuwa zinauzwa kwa bei rahisi.
 
Kwa mfano kama Amoksilini za kawaida (Tsh 3,000/=) zikikosa ufanisi na mtu kutakiwa kutumia Amoksilini zilizoboreshwa (Mifano Amox Clav, Clavulin, Augmentin, Clavam nk = Tsh 12,000/= hadi Tsh 35,000/=) basin a gharama ya dawa itakuwa imepanda kutoka Tsh 3,000/= hadi Tsh12,000/= na kuendelea.
 
Back
Top Bottom