Leo nikuwa nang'aa macho mujiniTupo ww tu ulipotea
Msije mkasema kuwa hawa nao ni Wasukuma kwa sababu kila pozi la ajabu ajabu basi automatically eti ni M/Wasukuma!
Mamboz ndugu yanguUnyumbu vs Ufisi ama?
diamond kuna nyimbo yake eti anasema hakuna ajuaye kesho yake..... sasa tuulizane nani asiyejua kuwa kesho ni iddi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Diamond muongo eeehhh?
[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji115]Mzungu ni mtu aweza kuwa mwanaume ama mwanamke,
Mara nyingi hawapendelei kuvaa suruali za vitambaa.
Aiseeh coco unanifurahisha
Karibu ndugu yanguNimerudi ...
usipotee njiaNatoka narudi
Tupo kamanda. Koromije hapa.Mwanza mpo!
Huku ni kusambaziana upendo tu mkuu, tofauti zinabaki kuleUsicheke mkuu, mchana nilikua kule, ila nimeraruana na ndugu yangu kabisa wa huku. Tunakutana tena huku tunaogeshana tu kwa ma like
Hahahahadiamond kuna nyimbo yake eti anasema hakuna ajuaye kesho yake..... sasa tuulizane nani asiyejua kuwa kesho ni iddi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Diamond muongo eeehhh?
Pqmbana mkuuI can't wait to see a 50k winner
Stress free zoneHuku ni kusambaziana upendo tu mkuu, tofauti zinabaki kule