Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ona sasa... Nararuliwa pasi na kosa
Andjul ona sasa unavyopigwa vijembe huku[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Analeta janja janja hapa tangia mwanzo Nilikuwa namkumbusha namwambia unachoreka we Mzee akutaka kusikia pigania penzi lako jipya my ndugu
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Muulize SYB atakupa mbinu
Mimi simuamini tena. Alivyotugeuka wanaukoo mpaka sasa siamini. Kisa mke ndo unatupa ndugu zako just like that?
Amelikoroga alinywe mwenyewe. Wanaukoo wote tumeshamtenga. Hata siku mkipata watoto sisi hatuwatambui na kamwe msiwape majina ya ukoo wetu. Madhara yake yatakuwa makubwa sana !!!
 
Reverse Psychology. I like it. You have my total respect bro....
Huyu anachukuliwa maelezo kirahisi sana, eti anasahau kama yeye na cute carba ni wanakapo wapya jiangalie we Mzee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nyie ndugu mjue?kaeni muyajenge me mpita njia tu[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…