Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mweee,ila mkataba ni wewe uliuleta mezaniAnaleta janja janja hapa tangia mwanzo Nilikuwa namkumbusha namwambia unachoreka we Mzee akutaka kusikia pigania penzi lako jipya my ndugu
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Andjul shemeji ukoo umekutenga huku,sasa sijui utarudishiwa mahari na udaiwe "dada yao"[emoji19] [emoji19] [emoji19]Mimi simuamini tena. Alivyotugeuka wanaukoo mpaka sasa siamini. Kisa mke ndo unatupa ndugu zako just like that?
Amelikoroga alinywe mwenyewe. Wanaukoo wote tumeshamtenga. Hata siku mkipata watoto sisi hatuwatambui na kamwe msiwape majina ya ukoo wetu. Madhara yake yatakuwa makubwa sana !!!
Kwema mkuu, mambo vipiMzee wa Pwani kwema