Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Tumia mafuta mazuri ya kupikia, salama kwa afya yako. Mfano ni mafuta ya mzaituni (Olive oil). Usitumie mafuta mengi, kijiko cha chakula kimoja  hadi viwili yanatosha sana kwa chakula chako. Epuka kupikia mafuta yatokanayo na wanyama (Fats), epuka kupikia mafuta yanayokuwa kwenye hali ya kuganda.