Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

2b56b67c5ba58df062a4651990121c61.jpg
 
Vyakula vya kukupa protini – Hivi vinatakiwa kuwa robo tu ya sahani yako. Tumia zaidi protini zinazotokana na mboga jamii ya maharage na mbegu zingine, kuku na samaki. Punguza kula nyama nyekundu kama vile ng’ombe na mbuzi.
 
Cha kuongezea hapo ni maji na mafuta ya kupikia.

Kunywa maji ya kutosha, angalau lita mbili kila siku. Kunywa kama maji au vinywaji vingine salama kwa afya yako kama vile juisi, chai, kahawa na maziwa; japokuwa unatakiwa usinywe sana maziwa na kahawa (Kikombe 1-2 kwa siku).
 
Back
Top Bottom