Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Analeta janja janja hapa tangia mwanzo Nilikuwa namkumbusha namwambia unachoreka we Mzee akutaka kusikia pigania penzi lako jipya my ndugu
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mweee,ila mkataba ni wewe uliuleta mezani
Acha nikusanye kilicho changu niende zangu Zimbabwe..
[emoji124] [emoji124] kwa herini kwa herini kwa herini,wana apolo kwa herini..[emoji444] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji443]
 
Andjul shemeji ukoo umekutenga huku,sasa sijui utarudishiwa mahari na udaiwe "dada yao"[emoji19] [emoji19] [emoji19]
Moto unawaka kwenye huu ukoo[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…