Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ngoja nirudi nikaangalie...Mziki wa Chibu wa you tube umeupita nini eeeeh
Pokea like mkuu weka postMkuu kipindi cha nyuma kulikua na team weka picha na team naomba like I wish kama wangekuepo kwenye huu uzi wale like.
Magufuli hakukosea.
Pamoja sanaKaribu ndugu yangu
ndio humu ndaniStress free zone
Pqmojq mkuuNawapenda wote jaman chukueni like zangu maana kupita kwa wote mmmh
Tuko pamoja katika hili jukumu. Post kutokuwa na likes kabisa au likes moja/mbili haikubaliki. TOA LIKES KAMATA LIKES...Bora umewakumbusha mkuu maana nlikua nimeubeba mzigo peke angu [emoji4][emoji4]. Kula likes
Sema unatania mkuu, na joto hili unakuaje frozen?Frozen heart
Kata mamaKata.... katatika
Kiuno chako mwenyewe.... kata...kata
Uwiii najitayarisha mauno mie
Halooooooo
HahahaNaambiwa nimetekwa na mahaba kwa mrembo maana wananiona nachat kinoma
Muda wa kukaa na kutazama video ndiyo hakuna. Ukija kumaliza kutazama unakuta uzi umefika Nyu Yoko [emoji23][emoji23][emoji23]Wapenzi burudikeniwenza wenu wawape bonge la smile usiku huu
Arudishe ile baby face jamani 😀
Alietaka miwani alipata?Like like
Hawa hawajakamatia vizuri watoto wa mkulu
Likesif you talk just talk but much better if you talk in terms of numbers