Wataalam wa afya tunakushauri kula zaidi samaki kuliko nyama ya ng’ombe, mbuzi na kondoo. Kula samaki wa kutosha na usiache muda mrefu bila kula samaki.
samaki ni nyama nyeupe, haina matatizo sana kama nyama nyekundu za ng’ombe, mbuzi na kondoo. Usitumie mafuta mengi kuandaa samaki, na kama ukiweza wachome au wachemshe ili kuepuka kula mafuta mengi.
Hakika, kila uwepo wako lazima kuwe na mgogoro mkubwa sana.Hakika tunajikuta tunarumbana,tunagaragazana,yaani lile timbwili la kufa mtu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.