Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
WAKUU WAKUU
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti nahatarisha maisha ya baadhi ya watu hapa,itabidi nihame jukwaa sasaNi wewe dadangu, unapendwa na kijiji kizima. Unahatarisha maisha ya baadhi yao hapa[emoji3]
Mkuu mkuuWAKUU WAKUU
[emoji109] [emoji109] [emoji109]Kwa hiyo umeamua kuwa my wife wa yule mlugaluga wa Kiwalani huko, sijui wanamuita andjul? Umenigaya mimi mtoto wa mjini, mtoto wa mitaa ya Indira Gandhi, Moscow, Samora, Jamhuri, Fupi, Kitumbini? Hapo umechemsha aisee! [emoji1][emoji1][emoji124][emoji124]
Hakika, kila uwepo wako lazima kuwe na mgogoro mkubwa sana.Hakika tunajikuta tunarumbana,tunagaragazana,yaani lile timbwili la kufa mtu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Safi tu za wewe
Nimesikia nikiwepo humu busara zinakimbia[emoji23] [emoji23] [emoji23]